App ya Android

Pakua App ya BizmarTZ

Simamia duka lako kutoka kwenye simu: mauzo, oda, stoo, ripoti, cash-up na risiti - kila kitu kilichopo kwenye website, sasa ndani ya app. Tumia akaunti ile ile unayoingia nayo hapa.

Pakua kwa Android 45.6 MB

Toleo 1.0.118 · Inafanya kazi kwenye simu zote za Android, mpya na za zamani

  1. 1
    Pakua

    Gusa kitufe cha Pakua. Faili (APK) litaingia kwenye Downloads za simu.

  2. 2
    Ruhusu kusakinisha

    Ukilifungua, simu itauliza kuruhusu "Install unknown apps" kwa kivinjari (Chrome). Ruhusu - ni mara moja tu.

  3. 3
    Sakinisha

    Gusa Install. Ikiuliza Play Protect, chagua "Install anyway" - app ni ya BizmarTZ yenyewe.

  4. 4
    Ingia

    Fungua BizmarTZ uingie kwa jina na neno la siri lako, au code na PIN kwa muuzaji.